THE TRUTH BEHIND YAHSHUA MESSIAH'S RESSURECTION
UKWELI KUHUSU KUFUFUKA WA MWOKOZI WETU YAHSHUA MASIHI
"Daniel 9:27 And he shall confirm the covenant with many for one week: and in the midst of the week he shall cause the sacrifice and the oblation to cease, and for the overspreading of abominations he shall make it desolate, even until the consummation, and that determined shall be poured upon the desolate. {the covenant: or, a covenant} {for the…: or, with the abominable armies} {the desolate: or, the desolator} " Romans 12:21.
Danieli 9 27 Naye atafanya agano thabiti na watu wengi kwa muda wa juma moja; na kwa nusu ya juma hiyo ataikomesha sadaka na dhabihu; na mahali pake litasimama chukizo la uharibifu; na hivyo, hata ukomo, na ghadhabu iliyokusudiwa imemwagwa juu yake mwenye kuharibu.
Hapa Danieli anaonyeshwa kuhusu kifo chake masihi.Anasema katikati ya juma (Jumatano) Ndipo YAHSHUA ataweza kupasua kitambaa pale hekaluni na kumaliza sadaka za kuteketeza kwa kuondolea wanaokiri dhambi.
" Matthew 12:40 For as Jonas was three days and three nights in the whale’s belly; so shall the Son of man be three days and three nights in the heart of the earth. 41 The men of Nineveh shall rise in judgment with this generation, and shall condemn it: because they repented at the preaching of Jonas; and, behold, a greater than Jonas is here.
Swahili
Masihi anamuunga mkono nabii Danieli kwa kusema ya kuwa ataweza kukaa kaburini kwa mda wa Usiku tatu,mchana tatu.Haya yakiongezwa yapata masaa 72hours.Anapeana mfano kwamba kama vile Yona alipokuwa tomboni mwa nyangumi ndivyo ilivyo yeye pia.Yaonekana aliwezakutabiri kwamba Warumi ambao ndio waliokuwa watawala wakati huo wataweza kugeuza mambo katika maandiko ili kujifaidi.
Mambo haya yaweza pia kutimiza unabii wa Danieli kuihusu Rumi (ROMAN KINGDOM) Daniel 7:23-25 Thus he said, The fourth beast shall be the fourth kingdom upon earth, which shall be diverse from all kingdoms, and shall devour the whole earth, and shall tread it down, and break it in pieces. 24 And the ten horns out of this kingdom are ten kings that shall arise: and another shall rise after them; and he shall be diverse from the first, and he shall subdue three kings. 25 And he shall speak great words against the most High, and shall wear out the saints of the most High, and think to change times and laws: and they shall be given into his hand until a time and times and the dividing of time.
Danieli 7 23 Akanena hivi, Huyo mnyama wa nne atakuwa ni ufalme wa nne juu ya dunia, utakaokuwa mbali na falme zile zote, nao utakula dunia yote, na kuikanyaga, na kuivunja vipande vipande. Danieli 7 24 Na habari za zile pembe kumi, katika ufalme huo wataondoka wafalme kumi; na mwingine ataondoka baada ya hao; naye atakuwa mbali na hao wa kwanza; naye atawashusha wafalme watatu. Danieli 7 25 Naye atanena maneno kinyume chake Aliye juu, naye atawadhoofisha watakatifu wake Aliye juu; naye ataazimu kubadili majira na sheria; nao watatiwa mikononi mwake kwa wakati, na nyakati mbili, na nusu wakati.
"45 Now from the sixth hour there was darkness over all the land unto the ninth hour. 46 And about the ninth hour Jesus cried with a loud voice, saying, Eli, Eli, lama sabachthani? that is to say, My Strength, my Strength, why hast thou forsaken me?
Mathayo 27 45 Basi tangu saa sita palikuwa na giza juu ya nchi yote hata saa tisa. Mathayo 27 46 Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Hapa tunapata kujua kuwa YAHSHUA alikufa masaa yapatayo saa tisa jioni Siku ya JUMATANO.Tukifanya hesabu kuanzia jumatano jioni hadi Sabato jioni tunapata siku tatu zinaisha.Kwa hivyo Masihi aliweza kufufuka baada ya sabato kuisha.
1 In the end of the sabbath, as it began to dawn toward the first day of the week, came Mary Magdalene and the other Mary to see the sepulchre. 2 And, behold, there was a great earthquake: for the angel of the Lord descended from heaven, and came and rolled back the stone from the door, and sat upon it. {was: or, had been} 3 His countenance was like lightning, and his raiment white as snow: 4 And for fear of him the keepers did shake, and became as dead men. 5 And the angel answered and said unto the women, Fear not ye: for I know that ye seek Jesus, which was crucified. 6 He is not here: for he is risen, as he said. Come, see the place where the Lord lay. 7 And go quickly, and tell his disciples that he is risen from the dead; and, behold, he goeth before you into Galilee; there shall ye see him: lo, I have told you.
YES.According to some Bible versons it written Friday but It not Friday.If we reference KJV,there is nowhere mentioned Kunayo vitabu vingine ambayo inasema ni masihi alikufa ijumaa jioni lakini
Je,mambo haya yakiwa kweli,Danieli ni muongo?Masihi ni muongo?Tukipiga hesabu ijumaa jioni hadi jumapili asubuhi mapema tunapata masaa 36 Hours na hii hailingani vyema na jinsi ilivyotabiriwa
26 And as they were eating, Jesus took bread, and blessed it, and brake it, and gave it to the disciples, and said, Take, eat; this is my body. {blessed it: many Greek copies have gave thanks} 27 And he took the cup, and gave thanks, and gave it to them, saying, Drink ye all of it; 28 For this is my blood of the new testament, which is shed for many for the remission of sins. 29 But I say unto you, I will not drink henceforth of this fruit of the vine, until that day when I drink it new with you in my Father’s kingdom. 30 And when they had sung an hymn, they went out into the mount of Olives.
Tunatambua kuwa masihi aliwezakupeana mwili wake kama pasaka mpya itakayokumbukwa kila mwaka wakati wa pasaka kama ilivyo Desturi pasaka ilikuwa ikiliwa siku ya kumi na nne jioni mwezi wa kwanza (Abibu/Nisan).Masihi alipomaliza kupeana mwili wake kama mkate na damu yake kama damu ya kututakasa ndipo Usiku huo alishikwa na Siku iliyofuata akatundikwa mtini kwa ajili ya dhambi zetu
SwahiliMathayo 27 45 Basi tangu saa sita palikuwa na giza juu ya nchi yote hata saa tisa. Mathayo 27 46 Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Tunaona jina nzuri linalofaa kutumiwa hapa masihi alikufa siku ya maandalio ya sabato.Tunayo Maandalio ya sabato ya uumbaji na maandalio ya sabato ya sikukuu alizopeana muumba wetu
Yohana 19 31 Basi Wayahudi, kwa sababu ni Maandalio, miili isikae juu ya misalaba siku ya sabato, (maana sabato ile ilikuwa siku kubwa), walimwomba Pilato miguu yao ivunjwe, wakaondolewe.
Sabato kuu (HIGH SABBATH) Huwezakuwa siku yoyote ya wiki kutegemea siku ya pasaka inaanza lini na kuisha lini.Siku ya kwanza ya Pasaka ni Sabato na pia siku ya nane sabato kuu.Kwa hivyo maandalio inayozungumziwa hapa ni wa SABATO KUU inayokua Tarehe 15 mwezi wa Abib/Nisan kila mwaka tunaposherehekea sikukuu ya pasaka.Siku hii ilikua siku ya alhamisi(HIGH SABBATH) na masihi alikufa siku ya jumatano saa tisa jioni
For more information about the hope I have.Feel free to reach me
1 Peter 3:15 But sanctify the Lord God in your hearts: and be ready always to give an answer to every man that asketh you a reason of the hope that is in you with meekness and fear: {fear: or, reverence}




Comments